Bw. Filbert Mponzi Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi Benki ya NBC akimkabidhi fungua ya gari aina ya Toyota Hilux
jipya kabisa mhindi Bw. Aldo Aidan Nsuha mfanyabiasha wa mbao Buguruni
ambaye ameshinda katika shindano la wateja binafsi walioshiriki katika
shindano la kuweka fedha katika akaunti ya Malengo linaendeshwa na benki
hiyo kulia anayeshuhudia ni mkewe Bi. Zenobia Tarimo.
Bw. Filbert Mponzi Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi Benki ya NBC akimkabidhi kadi ya gari aina ya Toyota Hilux jipya
kabisa mhindi Bw. Aldo Aidan Nsuha mfanyabiasha wa mbao Buguruni
ambaye ameshinda katika shindano la wateja binafsi walioshiriki katika
shindano la kuweka fedha katika akaunti ya Malengo linaendeshwa na benki
hiyo
Bw. Filbert Mponzi Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi Benki ya NBC akizungumza wakati wa kukabidhi gari aina ya Toyota
Hilux jipya kabisa mhindi Bw. Aldo Aidan Nsuha mfanyabiasha wa mbao
Buguruni ambaye ameshinda katika shindano la wateja binafsi
walioshiriki katika shindano la kuweka fedha katika akaunti ya Malengo
linaendeshwa na benki hiyo kulia anayeshuhudia ni mkewe Bi. Zenobia
Tarimo.
Gari la Mshindi likiwa limepambwa rangi za benki ya NBC kabla ya kukabidhiwa kwa mshindi.
Mke wa Bw. Aldo Aidan Nsuha Bi. Zenobia
Tarimo akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mumewe
kukabidhiwa zawadi yao ya gari waliyojishindia kutoka benki ya NBC.
Bw. Filbert Mponzi Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi Benki ya NBC akizungumza na william Kalaghe Meneja wa
Mawasiliano kwa Umma NBCna katikati ni Neema Rose Singo Mkurugenzi wa
Masoko na Mawasiliano NBC .
Bw. Aldo Aidan Nsuha na mkewe Bi. Zenobia Tarimo wakikagua gari yao mara baada ya kukabidhiwa.
0 comments:
Post a Comment