
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Happy na Mkuu wa wilaya ya
Kilolo, Asia Abdallah (wa pili kushoto) kukagua ujenzi wa hospitali ya
wilaya ya Kilolo , Septemba 27, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kilolo, Septemba 27, 2019.

Muonekano wa sehemu ya hospitali
ya wilaya ya Kilolo ambayo ujenzi wake uko katika hatua za mwisho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi huo Septemba 27, 2019 na
kusema kuwa amefurahishwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wananchi baada kukagua na kufurahishwa na ujenzi wa
hospitali ya wilaya ya Kilolo, Septemba 27, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment