METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, June 24, 2019

WAZIRI MKUU AFUNGUA TAWI LA BENKI YA UWEKEZAJI TANZANIA (TIB )

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Ashantu Kijaji, wakati  wa ufunguzi wa Ofisi na Tawi la Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), katika jengo la PSSSF jijini Dodoma,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifungua Ofisi na Tawi la Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe, wakati akifungua Ofisi na Tawi la Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifungua akaunti katika Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), baada ya kufungua Ofisi na Tawi la Benki, katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019. Kulia ni Ofisa Huduma kwa Wateja Elizabeth Mkondya.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihifadhi fedha baada ya kufungua akaunti katika Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), baada ya kufungua Ofisi na Tawi la Benki ya Benki hiyo, iliyopo katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019. Kushoto ni mtoa huduma wa fedha, Nasra Namkudai.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kufungua Ofisi na Tawi la Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com