IS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara
ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar (UUB) Eng. Ali Tahir Fatawi,
akitowa maelezo ya Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara alipotembelea eneo
la Kituo cha UUB Kibwele Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kituo cha Idara ya
Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Kibele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia
Vifaa Vipya vua Ujenzi wa Barabara Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara
ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar Eng. Ali Tahir Fatawi,
akitowa maelezo ya moja ya kifaa cha ujenzi wa barabara cha Idara ya
Ujenzi na Utunzaji wa barabara alipotelmbelea Kituo hicho Kibele Wilaya
ya Kati Unguja kuangalia vifaa hivyo vipya vilivoagiziwa na Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, kulia Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji
Zanzibar Dr.Sira Ubwa Mwamboya
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akitembelea Vifaa vipya vya Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa
Barabara Zanzibar (UUB) katika Kituo cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja
kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibare Mhe. Dr.
Sira Ubwa Mwamboya na Naibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji
Mhe. Mohammed Ahmed Salum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya Mtambo Mpya
wa kupikia lami kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa
Barabara Zanzibar Eng. Ali Tahir Fatawi, akitembelea Vifaa vipya vya
Idara hiyo katika Kituo chao Kibele Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamerd Shein, akizungumza na Uongozi wa
Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa ziara
yake kutembelea Kituo cha Idara ya UUB Kibele Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Ndg. Mustafa Aboud
Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar
Mhe.Dr. Sira Ubwa Mwamboya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa
Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, alipofanya ziara
kutembelea Kituo cha UUB Kibele kuangalia vifaa vipya vya Idara hiyo,
kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe.Dr.
Sira Ubwa na Naibu Waziri Mhe Mohammed Ahmed Salum.
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Mhe.Dr,. Sira Ubwa akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
kutembelea Vifaa Vipya vya Kisasa vya Idara ya UUB Zanzibar,katika
Kituo hicho Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
0 comments:
Post a Comment