Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Jukwaa
la Wabunge wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini kwa Afrika (SADC),
Mhe. Veronica Nataniel Macamo Dlhovo, Katibu Mkuu wa Jukwaa hilo Mhe.
Boemo Skgoma ambao wameongozana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na Naibu Waziri wa mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro alipokutana na
kufanya mazungumzo na wageni hao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni
28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha ya Tingatinga na
Kinyago Mwenyekiti wa Jukwaa la Wabunge wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi
za Kusini kwa Afrika (SADC), Mhe. Veronica Nataniel Macamo Dlhovo,
alipokutana na na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo
Juni 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya picha ya kuchora toka
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wabunge wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za
Kusini kwa Afrika (SADC), Mhe. Veronica Nataniel Macamo Dlhovo, huku
akishuhudiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Job Ndugai na Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro alipokutana na kufanya mazungumzo na mgeni
huyo Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wabunge wa
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini kwa Afrika (SADC), Mhe. Veronica
Nataniel Macamo Dlhovo, Katibu Mkuu wa Jukwaa hilo Mhe. Boemo Skgoma
pamoja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job
Ndugai na Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Dkt. Damas
Ndumbaro Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na Mwenyekiti wa
Jukwaa la Wabunge wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini kwa Afrika
(SADC), Mhe. Veronica Nataniel Macamo Dlhovo pamoja na Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai baada ya kukutana na
kufanya mazungumzo na mgeni huyo Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 28,
2019
0 comments:
Post a Comment