METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, June 28, 2019

Shirika la Ndege la Tanzania ATCL Laanza Safari Zake za kwenda Nchini Afrika Kusini leo Tarehe 28/06/2019

Picha mbalimbali zikionesha Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikipakia abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka kuanza safari yake ya kwanza ya kuelekea nchini Afrika Kusini leo tarehe

Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikiruka kuelekea nchini Afrika Kusini leo tarehe 28/06/2019 ikiwa ni uzinduzi wa Safari yake ya kwanza kwenda nchini humo. Picha na IKULU

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com