METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, September 21, 2021

MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UN

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Sept 21,2021 ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaofanyika Jijini New York Marekani. Wa pili kushoto  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula. PICHA NA IKULU.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com