METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, February 16, 2021

WAZIRI BASHUGWA AMTEMBELEA ASKOFU RWEYONGEZA KATIKA MAKAZI YA MAASKOFU KASHARARA – KARAGWE

 

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (Kushoto) akibadilishana mawazo na Askofu Almachius Rweyongeza wa jimbo Katoliki la Kayanga huku akimkaribisha kushiriki katika ibada ya Jumatano ya Majivu, Leo Februari 16, 2021 katika makazi ya maaskofu yaliyopo Kasharara – Kayanga – Karagwe.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (kushoto) akifurahia jambo na Askofu Almachius Rweyongeza wa jimbo Katoliki la Kayanga (katikati) baada ya kupata Baraka na chai ya pamoja katika makazi ya maaskofu yaliyopo Kasharara – Kayanga – Karagwe. Leo Februari 16, 2021. Kulia ni Ivo Ndisanye Katibu wa Mbunge wa jimbo la Karagwe.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Almachius Rweyongeza wa jimbo Katoliki la Kayanga (katikati) na Ivo Ndisanye Katibu wa Mbunge wa jimbo la Karagwe (kushoto) baada ya kutembelea makazi ya maaskofu yaliyopo Kasharara – Kayanga – Karagwe. Leo Februari 16, 2021.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com