Mgombea
Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Kambarage mkoani
Shinyanga kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za Urais leo tarehe 03 Septemba 2020.
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa ameishika
Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa mwaka 2020-2025 katika
mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM uliofanyika katika uwanja wa
Kambarage mkoani Shinyanga leo tarehe 03 Septemba 2020.
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anafurahia wakati akiangalia
msanii wa Singeli Sholo Mwamba alipokuwa akitumbuiza katika uwanja wa Kambarage
mkoani Shinyanga.
Sehemu
ya Wananchi wa Shinyanga wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza katika mkutano wa Kampeni Shinyanga mjini.
0 comments:
Post a Comment