Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan wakipokea Seti moja ya Fomu ya Uteuzi 8A, Fomu namba
10 pamoja na Picha za Wagombea kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya
NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 25 Agosti, 2020.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage (aliyesimama) akitangaza
kumteua Mgombea wa kiti cha (Urais) Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea
Mwenza, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kurejesha fomu za uteuzi
kwenye ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa Fomu zake na kuzihakiki mara baada
ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo
tarehe 25 Agosti, 2020.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Mgombea Mwenza Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan wakati akisaini Fomu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC
Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 25 Agosti, 2020.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Fomu zake kwa Mkurugenzi wa
Uchaguzi kutoka NEC Dkt. Wilson Charles kwa ajili ya uhakiki katika Ofisi za
Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 25 Agosti, 2020.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wafanyakazi wa NEC mara
baada ya kurejesha Fomu na kuteuliwa kuwa Mgombea kupitia Tiketi ya CCM
Njedengwa jijini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment