Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoka
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Ali Abeid Karume, wakati
akiwasili Mwenyekiti Viwanja vya Fumba, kufunga Maonesho ya
Wajasiriamali, katika Kusherehekea Miaka 20 ya Uanzishwaji Jumuiya ya
Afrika Mashariki, Novemba 24, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea zawadi ya gazeti, kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa Shirika la
Magazeti ya Serikali Zanzibar, Yussuf Khamis, wakati akitembelea
mabanda, kwenye Maonesho ya Wajasiriamali, katika Kusherehekea Miaka 20
ya Uanzishwaji Jumuiya ya Afrika Mashariki, yaliyofungwa rasmi Novemba
24, 2019. Kutoka kushoto ni Maafisa Biashara na Matangazo, Rahma
Juma,Khalid Hussein na Khadija Khamis.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifafanuliwa jambo na Afisa Manunuzi wa Shirika la Biashara la Taifa
Zanzibar, Shinuna Ismail, wakati akitembelea mabanda, kwenye Maonesho ya
Wajasiriamali, katika Kusherehekea Miaka 20 ya Uanzishwaji Jumuiya ya
Afrika Mashariki, yaliyofungwa rasmi Novemba 24, 2019. Kutoka kushoto ni
Maafisa Biashara na Matangazo, Rahma Juma,Khalid Hussein na Khadija
Khamis.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
ameshika mwani, wakati akifafanuliwa jambo na Naibu Mkurugenzi Mkuu TAN
TRADE, Latifa Khamis, kwenye Maonesho ya Wajasiriamali, katika
Kusherehekea Miaka 20 ya Uanzishwaji Jumuiya ya Afrika Mashariki,
yaliyofungwa rasmi Novemba 24, 2019, kwenye viwanja vya Fumba Zanzibar.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwahutubia wananchi, kwenye Maonesho ya Wajasiriamali, katika
Kusherehekea Miaka 20 ya Uanzishwaji Jumuiya ya Afrika Mashariki,
aliyoyafungwa rasmi Novemba 24, 2019
Wananchi waliofika Mwenyekiti
ufungaji wa Maonesho ya Wajasiriamali, katika Kusherehekea Miaka 20 ya
Uanzishwaji Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakimsikiliza Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia, kwenye Maonesho hayo, Novemba 24,
2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akizungumza na Mwenyekiti wa Wajasiriamali Jumuiya Afrika Mashariki,
Josephat Royemam, kwenye Maonesho ya Wajasiriamali, katika Kusherehekea
Miaka 20 ya Uanzishwaji Jumuiya ya Afrika Mashariki, aliyoyafungwa rasmi
Novemba 24, 2019. Kutoka Kushoto ni Waziri wa Biashara na Viwanda wa
Zanzibar Balozi Amina Salum Ally na Naibu Waziri wa Kazi, Uwezeshaji,
Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Shadya Mohamed.
(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment