Sunday, May 5, 2024
Thursday, May 2, 2024
RAIS SAMIA ATOA BIL 5 KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA
BARABARA ZOTE ZINAZOSIMAMIWA NA TANROADS ZILIZOATHIRIWA NA MVUA ZA EL-NINO ZINAFUNGULIWA KWA WAKATI-WAZIRI BASHUNGWA
Monday, April 29, 2024
DKT.GWAJIMA: UKATILI WA KIJINSIA NI CHANZO CHA MIGOGORO KATIKA FAMILIA
Na Saida Issa,Dodoma.
Sunday, April 28, 2024
HATUA ZA DHARURA ZAENDELEA KUCHUKULIWA NA TANROADS MOROGORO KUREJESHA MIUNDOMBINU
Saturday, April 27, 2024
SERIKALI YATOA BIL 1.5 UREJESHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA MWANZA
Serikali imetoa shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika maeneo mbalimbali Mkoani Mwanza.
Fedha hizo zimetolewa na serikali kwenda Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mwanza ili kuanza haraka kazi ya marekebisho miundombinu ya barabara na madaraja ambayo yameharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha
Meneja wa TANROADS Mkoa Wa Mwanza Mhandisi Paschal Ambrose ameyasema hayo wakati alipotembelea na kukagua uharibifu uliotokea kwenye barabara katika Wilaya za Nyamagana na Misungwi ambapo pia ametumia fursa hiyo kukanusha uvumi ulioenezwa kwamba barabara katika eneo la Ng'ombe Wilayani Misungwi ni mbovu na haipitiki na amewataka wananachi kupuuza uvumi huo.
Amesisitiza kuwa Serikali imetoa fedha za dharura ambapo tayari wakandarasi wapo kazini wakiendelea na kazi.
Amesema miongoni mwa barabara zinazofanyiwa marekebisho ni barabara ya kutoka Mwanza kuelekea Musoma eneo la Nyamhongolo ambapo wanarekebisha mfereji ambao umeharibika kutokana na mvua hizo.
Mhandisi Ambrose amewataka wananchi wanaoishi karibu na barabara kuacha kufanya shughuli za kibinadamu kwenye kingo za barabara pamoja na kutupa taka ngumu katika mitaro hali inayosababisha mitaro kushindwa kupitisha maji pindi mvua zinaponyesha.
Naye Mkandarasi anayefanya marekebisho katika maeneo mbalimbali Mkoani Mwanza Mhandisi Stephen Mashauri kutoka kampuni ya ujenzi ya MUMANGI CONSTRUCTION CO. LTD amewaondoa hofu wananchi wanaotumia barabara hizo kwamba zitarekebishwa kwa wakati ili ziweze kupitika muda wote.
Aidha amewataka madereva wa vyombo vya moto kufuata alama zote, za barabarani zilizowekwa na TANROADS ili kuepuka ajali, huku akiwatahadharisha Wananchi wanaoiba miundombinu iliyowekwa barabarani na kwamba watakaobainika watachukulia hatua kali za kisheria.
MWISHO
Friday, April 26, 2024
TANROADS YAENDELEA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA GONGOLAMBOTO JIJINI DAR ES SALAAM
TANROADS YAWEKA KAMBI BARABARA YA MOROGORO- IRINGA KUZIBA MASHIMO MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA
Wednesday, April 24, 2024
RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 66 KUANZA UREJESHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOHARIBIKA
Monday, April 1, 2024
BAADA YA UKAGUZI KIDATU, DKT. BITEKO ATUA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA ZUZU DODOMA
Wednesday, March 6, 2024
KADA WA CCM NEEMA MGHEN ACHANGIA MIFUKO 50 UJENZI WODI YA WAZAZI USHETU
Wednesday, February 21, 2024
UTEKELEZAJI MRADI WA TANZANIA YA KIDIJITALI WAFIKIA 70%-KATIBU MKUU WHMTH, MOHAMMED KHAMIS ABDULLA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali...
-
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara ...
-
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro imewataka Wananchi wa Mkoa huo kuwa watulivi wak...
-
Na Mathias Canal Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bili...
-
RAIS SAMIA ARIDHIA UJENZI WA BARABARA YA KM 41 KUTOKA KIBADA -MWASONGA -KIMBIJI-...