METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, November 24, 2019

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEUDHULIA MISA TAKATIFU KATIKA PAROKIA YA MT.MARIA IMACULATA CHAMWINO IKULU JIJINI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka takati wa misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki kaaika misa ya
Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini
Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hui ni mara ya Kwanza kwa
Rais na Familia yake kushioriki katika misa katika parokia hii toka
ahamkie rasmi Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya  misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019.

PICHA NA IKULU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com