![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/50328a9f-87bd-4e5e-952c-2c6cdc6a2772.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikata utepe kuzindua mradi wa mafunzo ya kilimo kupitia tekinolojia ya
kitalu nyumba kwenye viwanja vya Nanenane, Ngongo mkoani Lindi, Oktoba
10, 2019. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia
ni Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Zanzibar, Balozi
Ali Karume. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na
kushoto ni Tausi Hassan kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya
Watu (UNFPA). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/b1fa933e-5293-45f3-bce6-5345bb7f5ba0.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizindua Mradi wa mafunzo ya kilimo kupitia tekinolojia ya kitalu
nyumba kwenye viwanja vya Nanenane wa Ngongo, Lindi Oktoba 10, 2019. Wa
tatu kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira,
Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na wa pili kulia ni
Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Zanzibar, Balozi Ali
Karume. Wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na
kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi, Fadhili Juma. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/ed6491ff-d740-4a58-8c19-3e8ce6c2ba95.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali na baadhi ya washiriki
wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika kwenye viwanja
vya Mpilipili mjini Lindi, Oktoba 10, 2019. Waliokaa kutoka kushoto
ni Tausi Hassan kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu
(UNFPA), Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa
Zanzibar, Balozi Ali Karume, Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Mkuu
wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Anthony Mavunde na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi, Fadhili
Juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/58b56fe8-fbd4-4317-a078-5a38feccd725.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/31a0e9ec-d939-434d-932e-a6942d48f08f.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi
na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa pili kulia) na Waziri wa Vijana,
Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Zanzibar, Balozi Ali Karume (kulia)
wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kuzindua Mradi wa mafunzo ya kilimo
kupitia tekinolojia ya kitalu nyumba kwenye viwanja vya Nanenane,
Ngongo, Lindi Oktoba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment