METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, August 5, 2019

RAIS DKT JOHN MAGUFULI AFUNGUA WIKI YA VIWANDA KWA NCHI ZA SADC JIJINI DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akihutubia katika ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Agosti 5, 2019. Yenye kauli mbiu: Mazingira Wezeshi kwa Maendeleo na Jumuishi ya Viwanda, Kukuza Biashara na Ajira ndani ya Jumuiya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam. Yenye kauli mbiu: Mazingira Wezeshi kwa Maendeleo na Jumuishi ya Viwanda, Kukuza Biashara na Ajira ndani ya Jumuiya.
Katibu Mtendaji Sekretariati ya SADC Dkt Stergomena Tax akizungumzia katika ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akibadirishana mawazo na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (kulia) wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji Sekretariati ya SADC Dkt Stergomena Tax wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam. 
 Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Innocent Bashungwa
 Wageni waalikwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiangalia burudani ya ngoma wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com