Mkurugenzi wa Usimamizi huduma za MajiTaka wa DAWASA, Shabani Mkwanywe (kulia) akizungumza na wanahabari katika Wiki ya Maji Duniani inayoadhimishwa na DAWASA kwa kusikiliza kero za wananchi katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam iliyoanza Machi 16-22,2019.

Mkurugenzi wa Usimamizi huduma za MajiTaka wa DAWASA, Shabani Mkwanywe (kushoto) akieleza machache mbele ya wanahabari juu ya mifumo ya MajiTaka
Watoa Huduma wakiendelea kutoa elimu na kutatua kero za wananchi waliofika katika Wiki ya Maji Duniani inayoadhimishwa na DAWASA kwa kusikiliza kero za wananchi katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam iliyoanza Machi 16-22, 2019.
Wananchi wakisoma vipeperushi.
0 comments:
Post a Comment