
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akizungumza na waheshimiwa wabunge, watumishi wa Ofisi ya
Bunge na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa kitabu cha “Viwanda:
Moving Tanzania Forward” katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson (kulia) akizindua kitabu cha “Viwanda: Moving Tanzania
Forward” mbele ya waheshimiwa wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na
wageni waalikwa (wote hawapo kwenye picha) katika Ukumbi wa Msekwa
Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni mwandishi wa kitabu hicho, Prof. Teddy
Maliyamkono

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson (kulia) akimpongeza mwandishi wa kitabu cha “Viwanda:
Moving Tanzania Forward”, Pro. Teddy Maliyamkono mbele ya waheshimiwa
wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na wageni waalikwa (hawapo kwenye
picha) katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment