Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Joseph Kakunda na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe, Omary Mgumba leo wameanza ziara ya siku tatu ya kiserikali katika Mkoa wa Morogoro 08, Januari 2019 asubuhi kabla kuanza ratiba ya ziara waliripoti ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambapo walifanya mazungumzo na Katibu wa CCM Mkoa huo Shaka Hamdu Shaka juu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika maeneo ya Viwanda, Biashara na uwekezaji katika Mkoa huo.
Tuesday, January 8, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Kiongozi wa upinzani, Kizza Besigye akisindikizwa na maofisa wa gereza la Luzira alikokuwa akishikiliwa Kiongozi w...
-
Na Georgr Binagi-GB Pazzo Serikali imewataka wakurugenzi wote wa Halmashauri nchini kushughulikia madai ya waalimu ikiwemo madeni stahi...
-
Mhe Japhet Hasunga (Mb) Waziri wa Kilimo, akikagua ujenzi vihenge vya kisasa (Silos) na maghala ya kuhifadhia nafaka kabla ya kuzungumza ...
-
Ikumbukwe siongei kwa niaba ya Taasisi Fulani bali naongea kama MNEC. Napenda kumpongeza Rais wangu Dr. John Pombe Joseph magufuli kwa...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment