Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Joseph Kakunda na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe, Omary Mgumba leo wameanza ziara ya siku tatu ya kiserikali katika Mkoa wa Morogoro 08, Januari 2019 asubuhi kabla kuanza ratiba ya ziara waliripoti ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambapo walifanya mazungumzo na Katibu wa CCM Mkoa huo Shaka Hamdu Shaka juu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika maeneo ya Viwanda, Biashara na uwekezaji katika Mkoa huo.
No comments:
Post a Comment