Naibu Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabula amewataka
watendaji wa Halmashauri nchini kutimiza majukumu wao kwa mujibu wa sheria na
si kutumia jina lake.
Mhe. Dkt.
Mabula ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza amesema wapo
baadhi ya watendaji wanapokuwa wakitimiza majukumu yao ikiwemo kuendesha zoezi
la bomobomoa, huwaeleza wananchi kwamba yeye ndiye amewatuma.
0 comments:
Post a Comment