Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, Daniel Batare (kulia) akizungumza kwenye kikao cha robo ya kwanza ya mwaka 2018/19 cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo kilichoketi Novemba 05, 2018.
Pamoja
na mambo mengine, kikao hicho kilijadili taarifa ya utekelezaji wa
miradi ya maendeleo ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, John Wanga
katika kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba mwaka huu 2018.
Diwani Kata ya Buzuruga, Richard Machemba akichangia hoja kwenye kikao hicho.
Diwani Kata ya Nyasaka, Shaban Maganga akizungumza kwenye kikao hicho.
Diwani Kata ya Nyakato, Alfred Wambura akichangia hoja kwenye kikao hicho.
Diwani Kata ya Shibula, Swila Dede akizungumza kwenye kikao hicho.
Diwani Viti Maalum Manispaa ya Ilemela akizungumza kwenye kikao hicho.
Diwani Kata ya Kirumba, Alex Ngusa akifuatilia kikao hicho.
Watendaji mbalimbali Manispaa ya Ilemela wakifuatilia kikao hicho.
0 comments:
Post a Comment