Baadhi ya Girl Guides ambao
ni wanafunzi kutoka Shule mbalimbali za Manispaa ya Temeke wakionesha
moja ya alama muhimu za Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), baada ya
kupata mafunzo ya awali katika Shule ya Msingi Mbagala, Dar es Salaam
leo. Wanafunzi wa kike 250 walishiriki mafunzo hayo yaliyoendeshwa na
Kamishna wa TGGA Mkoa wa Temeke, Leonida Komba ( wa tatu kushoto
waliosimama)
Girl Guides hao walipata mafunzo kuhusu historia ya Girl Guides duniani, kanuni, malengo na madhumuni ya kuanzishwa kwake.
Pia hufundishwa ujasiri, ukakamavu, mambo ya uongozi, maadili, kujitolea pamoja na uzalendo.
(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
Kamishna wa TGGA Mkoa wa Temeke, Leonida Komba (kushoto) akiwahamasisha Girl Guides wakati wa mafunzo hayo
Girl Guides wakiwa na furaha baada ya kupata mafunzo ya chama hicho kuhusu kanuni, historia ya Girl Guides Duniani, malengo na madhumuni yake.
Kamishna wa TGGA Mkoa wa Temeke, Leonida Komba (wa pili kulia waliosimama) akiwa na walimu ambao ni walezi wa Girl Guides wa shule walikotoka wanafunzi hao.

0 comments:
Post a Comment