Sajini wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji toka Makao Makuu, Damian Muheya (Kulia), akiwaelimisha wananchi
wa Mkoa wa Kilimanjaro jinsi vizimia moto vya awali (Fire Extinguisher)
vinavyotumika pindi moto unapotokea, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda
kwa Usalama Barabarani yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya
Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe
16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII
SHERIA, OKOA MAISHA”.
Wananchi wa Mjini Kilimanjaro
wakiwa katika banda la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakipata elimu juu
ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwenye vyombo vya Usafiri
na Usafirishaji, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa
yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya
Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”.
Wananchi wa Mjini Kilimanjaro
wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Kitengo cha Maokozi Saidi Seng’endo (Kushoto) walipotembelea
banda hilo, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani
yanayoendelea Mkoani humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia
siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya
Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”.
Picha ni sehemu ya mabanda ya
washiriki mbalimbali wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani
yanayoendelea Mkoani Kilimanjaro katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa
yameingia siku ya tatu tangu kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Bi. Samia Suluhu tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya
Maadhimisho ya mwaka huu ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”.
Picha watoto wakimsikiliza
Konstebo Saidi Seng’endo juu ya matumizi ya kifaa kinachohifadhi hewa
safi (Breathing Apparatus) kwa ajili ya kumsaidizi Askari wa Zimamoto
kwenye matukio mbalimbali.
Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Kitengo cha Maokozi toka Makao Makuu, Saidi Seng’endo (Kushoto),
akiwa na Konstebo wa Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa
Kilimanjaro, Simba Mikidadi (Kulia), wakiwaonesha wananchi wa Mkoa wa
Kilimanjaro jinsi baadhi ya vifaa vya gari maalum la maokozi (Fire
Rescue Tender) vinavyotumika pindi ajali inapotokea barabarani, wakati
wa Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanayoendelea Mkoani
humo katika viwanja vya Mashujaa, ikiwa yameingia siku ya tatu tangu
kuzinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.
Samia Suluhu, tarehe 16/10/2017. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu
ni “ZUI AJALI, TII SHERIA, OKOA MAISHA”.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
0 comments:
Post a Comment