
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wakiwa ndani ya Kiwanda cha Kampuni ya Huwawei walipotembelea Kiwanda hicho kuijionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo.
Wanahabari wakiwa katika kiwanda hicho.
Baadhi ya waandishi wa
habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wakiwa katika picha
ya pamoja Shenzhen nchini China, walipokwenda kutembelea kampuni ya
Huwawei na kuijionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo
ikwemo utekelezaji wa mradi wa elimu wa Smart Education na e-Education
unaotekelezwa katika shule ya msingi Baogang iliyopo nchini humona hivyo
kukabiliana na tatizo la uhaba walimu.mpango huo pia wanatarajia
kuuleta hapa nchini ili kuweza kuboresha sekta ya elimu.(Na mpiga picha
Wetu).
0 comments:
Post a Comment