Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza jambo mbele ya baadhi ya
wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Manyara, wakati
alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua
changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na
Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro (kulia), akifurahia jambo na Mkuu wa mkoa wa Manyara,
Joel Bendera (Kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Babati, Raymond Mushi,
wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua
changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na
Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi wakati
alipowasili mkoani Manyara, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua
changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na
Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro (kushoto), akiwa ameongozana na kamanda wa Polisi mkoa
wa Manyara, ACP Francis Jacob, wakati alipowasili mkoani Manyara, kwa
ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi
hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati
wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
0 comments:
Post a Comment