Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi maalum Balozi wa
China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing, wakati wa hafla ya Chakula cha
jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga jijini Dar es Salaam,
leo Agosti 27, 2017. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, Naibu Spika Tulia Akson, Mabalozi kadhaa
wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Mawaziri Kadhaa, Makatibu wa
Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na Makatibu wa Jumuia za Chama.
Picha zote na Bashir Nkoromo.
Balozi
wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing akimshukuru Katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana baada ya kupokea zawadi maluum, ambayo Kinana
alimzawadia wakati wa chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo
kumuaga.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza kabla ya kumkabidhi zawadi
maalum Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia), wakati wa
hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga
jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017.
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia) akiifungua zawadi hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia) akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Balozi wa China nchini Tanzania Dk.
Lu Youqing wakiinua glasi za vinwaji kabla ya kuzigonganisha kutakiana
heri, wakati wa hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo
kumuaga, Upanga jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Kulia ni
Naibu Spika wa Bunge Tulia Akson. Picha zote na Bashir Nkoromo.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za viwanywaji na
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing kumtakia heri, wakati wa
hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga
jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge
Tulia Akson. Picha zote na Bashir Nkoromo.
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing akigonganisha glasi za
vinywaji na Spika wa Bunge Tulia Akson kutakiana her, wakati wa hafla
ya Chakula cha jioni kilichoandaliwa na katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman
Kinana kumuaga Balozi huyo, Upanga jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27,
2017. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uratibu wa Bunge
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za kinywaji na Waziri Jenista Mhagama wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Balozi Lu na wapili kulia ni Naibu Spika Tulia Akson.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za kinywaji na Waziri Jenista Mhagama wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Balozi Lu na wapili kulia ni Naibu Spika Tulia Akson.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akigonganisha Glasi na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma-Kapijimpanga wakati wa hafla hiyo.
Katibu wa Jumuia ya wanawake Tanzania
Amina Makilagi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Idara ya
Uchumi na Fedha Dk. Frank Hawassi na kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka
hamdu Shaka wakiwa na glasi za vinywaji vyao wakati wa hafla hiyo.
0 comments:
Post a Comment