Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha nane cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
(Utumishi na Utawala Bora) akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya
Rais (Utumishi na Utawala Bora) kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika
kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 18, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi
ya Rais TAMISEMI kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha nane cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais TAMISEMI Mhe. Luaga Mpina akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Mbunge wa Nanyamba (CCM) Mhe.
Abdallah Dadi Chikota akiuliza swali katika kikao cha nane cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi
na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge
katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe.Dkt. Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18,
2017.
Mbunge wa Mlalo(CCM) Mhe. Rashid
Shangazi akiuliza swali katika kikao cha saba cha Mkutano wa nane wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Mbunge wa Kinondoni (CUF) Mhe.
Maulid Said Mtulia akiuliza swali katika kikao cha saba cha Mkutano wa
nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na
Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 18, 2017.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji
Mhe. Mhe Gerson Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18,
2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tazania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Mbunge
wa kuteuliwa Mhe. Abdallah Bulembo katika kikao cha nane cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mhe. Mwigulu Nchemba akitoa taarifa kwa Bunge kuhusu mauaji ya askari
wanane yaliyotokea siku ya Alhamisi wiki iliyopita Kibiti Mkoani Pwani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Mhe. Jenista Mhagama pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.
George Masaju wakifuatilia shughuli za kikao cha nane cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Watendaji kutoka Ofisi ya Rais
TAMISEMI na Utumishi na Utawala Bora wakifuatilia kikao cha nane cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Picha Z otena Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO
0 comments:
Post a Comment