Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(Kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi,
pale walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katika ni Kiongozi
wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty na
anaefuata ni Meneja wa Taasisi Shirikishi za kidemokrasia Ndg. Issifu
Lampo (kulia).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(Kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo
Shirikishi, Ndg. Kym McCarty (katikati) na anaefuta ni Meneja wa Taasisi
Shirikishi za kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia) walipotembelewa
leo na ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(Kushoto) akimsikiliza Meneja wa Taasisi Shirikishi za Kidemokrasia Ndg.
Issifu Lampo (kulia) na anaefuata ni Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi
za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty (katikati) walipotembelewa
leo na ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(Kushoto) akisalimiana na Meneja wa Taasisi Shirikishi za Kidemokrasia
Ndg. Issifu Lampo (kulia) na Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za
Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty (katikati), walipotembelewa leo
na ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 comments:
Post a Comment