Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda na wananchi wa Dar es salaam waliofika kumuaga Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe Hailemariam Desalegn aliyewasili nchini jana Machi 31, 2017 katika uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ziara ya kikazi kwa kuitikia Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Magufuli ambaye ndiye alikuwa mwenyeji wake.
Akiwa anadepart katika uwanja wa Ndege wa Mwl Julius K Nyerere eneo la Terminal 1 Mhe Rais ametoa shilingi milioni 20 kama zawadi kwa wananchi waliodhuru kumuaga waziri mkuu huyo wa Ethiopia ambapo amemkabidhi Mhe Rc Makonda kwa niaba ya wananchi waliokuwepo eneo hilo.
Next time hapatapitika
ReplyDeleteHata mm nitakuwepo aisee!
ReplyDelete