Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mnazimmoja
Dkt. Naufal Kassim Mohd akitoa maendeleo na changamoto za Hospitali ya
Mnazimmoja wakati Ujumbe wa Mashirika ya UN ulipotembelea Hospitali
hiyo.
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa
Mataifa Tanzania Alvaro Rodriguez akiuliza swali kwa uongozi wa
Hospitali ya Mnazimmoja alipotembelea Hospitali hiyo kujuwa maendeleo
yake.
Mhandisi Mkuu wa Hospitali ya Mnazimmoja
Mathna Kassim Marine akitoa maelezo kwa Mratibu wa Mashirika ya UN
alipotembelea sehemu ya kuzalisha gesi ya Oxygen inayotumika katika
Hospitali hiyo.
Ujumbe wa Mashirika ya UN Tanzania ukiongozwa na Alvaro Rodriguez wa kwanza (kushoto) ukitembelea Hospitali Kuu ya Mnazimmoja.
Wajumbe wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa Tanzania wakitembelea wodi mpya ya wazazi ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment