Masanduku yaliyoifadhiwa Madini,Vito
pamoja na fedha za Mataifa mbalimbali zilizotokana na Kesi mbalimbali za
Uhujumu Uchumi zikiingizwa Ukumbini tayari kwa Mkurugenzi wa
Mashtaka(DPP) Biswalo Mganga kukabidhi kwa Serikali kupitia Benki Kuu ya
Tanzania (BOT).
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)
Biswalo Mganga akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango
Dotto James kwa niaba ya Serikali sehemu ya vipande vya Madini ya
Dhahabu ambayo ilikamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria
zilizotokana na Kesi mbalimbali za Uhujumu Uchumi katika ukumbi wa BOT
jijini Dar es salaam Juni 29, 2019
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt.Agustine Mahiga,
Waziri wa Madini Dotto Biteko pamoja na Kamishina wa Madini Profesa
Abdukalim Mruma wakiwa wamishika vipande vya madini ya dhahabu ambayo
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga amezikabidhi kwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya
Serikali Madini, vito na Fedha za mataifa mbalimbali zilizokamatwa na
kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbalimbali za
Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam Juni
29, 2019
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)
Biswalo Mganga akionyesha juu kwa Mawaziri na Wanahabari Fedha za
Kimarekani (Dollar) kabla ya kumkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali Fedha hizo pamoja na
Madini na Vito ambavyo vilikamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria
zilizotokana na Kesi mbalimbali za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi
wa BOT jijini Dar es salaam Juni 29, 2019
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)
Biswalo Mganga akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango
Dotto James kwa niaba ya Serikali sehemu ya Fedha za Mataifa mbalimbali
pamoja na Madini na Vito ambavyo vilikamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu
wa Sheria zilizotokana na Kesi mbalimbali za Uhujumu Uchumi nchini,
katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam Juni 29, 2019
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango
Dotto James akikagua sehemu ya fedha za mataifa mbalimbali mara baada
ya kukabidhiwa kwa niaba ya Serikali Fedha na Mkurugenzi wa Mashtaka
nchini (DPP) Biswalo Mganga amabazo zilikamatwa na kuitaifishwa kwa
mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbalimbali za Uhujumu Uchumi
nchini vikiwemo pia Madini na vito mbalimbali, katika ukumbi wa BOT
jijini Dar es salaam Juni 29, 2019
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)
Biswalo Mganga akionyesha juu kwa Mawaziri na Wanahabari moja kipande
cha madini ya Pie light kabla ya kumkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali Madini, Vito na Fedha
za mataifa mbalimbali ambavyo vilikamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu
wa Sheria zilizotokana na Kesi mbalimbali za Uhujumu Uchumi nchini,
katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam Juni 29, 2019
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango Dotto James akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhiwa
kwa niaba ya Serikali Madini, vito mbalimbali na Fedha kutoka kwa
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga ambazo zilikamatwa
na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbalimbali za
Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam Juni
29, 2019
Waziri wa Katiba na Sheria Balozi
Dkt.Agustine Mahiga akizungumza na wanahabari katika hafla ya kukabidhi
Madini, vito mbalimbali na Fedha kwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha na
Mipango kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga
ambazo zilikamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na
Kesi mbalimbali za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini
Dar es salaam Juni 29, 2019
Waziri wa Madini Dotto Biteko
akizungumza na wanahabari katika hafla ya kukabidhi Madini, vito
mbalimbali na Fedha kwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango
kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga ambazo
zilikamatwa na kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi
mbalimbali za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es
salaam Juni 29, 2019
0 comments:
Post a Comment