Wadau wa
Fullshangwe kutoka kushoto Willy, Laiser,Paul Lyimo ,Fayaz
Mitha,Michael,Moddy na Melvin wakiwa mbuga za wanyama za Mikumi National
Park mkoani Morogoro kwa utalii wa ndani.
Wadau wa Fullshangwe hapa wakiwa na familia zao wakiwa Mikumi Snake Park kwa utalii wa ndani kujionea nyoka wa aina mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment