Monday, August 15, 2016

WADAU WA FULLSHANGWE WAVINJARI MIKUMI NATIONAL PARK KWA UTALII WA NDANI

medea1
Wadau wa Fullshangwe kutoka kushoto Willy, Laiser,Paul Lyimo ,Fayaz Mitha,Michael,Moddy na Melvin wakiwa mbuga za wanyama za Mikumi National Park mkoani Morogoro kwa utalii wa ndani.
medea2
Wadau wa Fullshangwe hapa wakiwa na familia zao wakiwa Mikumi Snake Park kwa utalii wa ndani kujionea nyoka wa aina mbalimbali.

No comments:

Post a Comment