METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, December 30, 2015

SABABU ZA MAMA DIAMOND KUZIKIMBIA INTERVIEW

Msanii nyota wa Bongo Fleva Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz au SIMBA amefunguka juu ya ushiriki wa mama yake mzazi kwenye video yake mpya ya Utaipenda.
mama15-marquee-diamond-800x451Akizungumzia suala hilo Diamond Platnumz (SIMBA) amesema hakutegemea kama mama yake mzazi angekubali kushiriki katika video hiyo maana amekuwa akikataa hata kuhojiwa na vyombo vya habari kutokana na kutokuwa huru akiwa mbele ya kamera.MAMA-DIAMOND55Diamond ameeleza kufurahishwa kwake na mama yake kushiriki katika video yake ya Utaipenda maana kusingekuwa na maana kama asingeshiriki kwasababu amemtaja sana kwenye verse ya pili.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com