
Visiwani Zanzibar zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari jipya la kudumu leo limeingia mjini Magharibi lakini kama ilivyotokea mkoa wa kasikazini ilibidi askari wa usalama kupiga risasi juu na mabomu ya machozi tukio lililozusha hofu wakati wa kuanza zoezi hilo.
0 comments:
Post a Comment