METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, December 14, 2021

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI DODOMA AKITOKEA DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma alipokua akitokea Jijini Dar es Salaam

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma alipokua akitokea Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Desemba 2021. PICHA NA IKULU

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com