METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, December 14, 2021

Wafanyakazi 50 wa vituo kumi na saba(17)vya taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania TARi katika idara za ugavi na uhasibu wapatiwa mafunzo




 Wafanyakazi 50 wa vituo kumi na saba(17)vya  taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania TARi  katika idara za ugavi na uhasibu  wanaendelea na mafunzo ya siku  tano jijini Dodoma  ya kuwajengea uwezo wa ufahamu wa mfumo wa ulipaji serikalini(MUSE) mafunzo yanayoendeshwa na maofisa kutoka wizara ya fedha na mipango


Akieleza juu ya mfumo huo ofisa kutoka wizara ya fedha bwana David Mamboleo  ameeleza kuwa moja ya faida ya kutumia mfumo huo wa (MUSE) ni kurahisisha ufungaji hesabu za serikali kwenye taasisi.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com