METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, June 23, 2023

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI MSIBA WA MKE WA NSANZUGWAKO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya kuaga mwili wa marehemu Midlaster Daniel Nsanzugwako ambaye ni Mke wa aliyekuwa Mbunge wa Kasulu Mjini Ndugu. Daniel Nsanzugwako iliofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Bethel – Kasulu mkoani Kigoma leo tarehe 23 Juni 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na waombolezaji waliojitokeza katika Ibada ya kuaga mwili wa marehemu Midlaster Daniel Nsanzugwako ambaye ni Mke wa aliyekuwa Mbunge wa Kasulu Mjini Ndugu. Daniel Nsanzugwako iliofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Bethel – Kasulu mkoani Kigoma leo tarehe 23 Juni 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Midlaster Daniel Nsanzugwako ambaye ni Mke wa aliyekuwa Mbunge wa Kasulu Mjini Ndugu. Daniel Nsanzugwako mara baada ya Ibada ya kuaga mwili huo iliofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Bethel – Kasulu mkoani Kigoma leo tarehe 23 Juni 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji aliyekuwa Mbunge wa Kasulu Mjini Ndugu.Daniel Nsanzugwako kufuatia kifo cha mke wake Midlaster Daniel Nsanzugwako mara baada ya Ibada ya kuaga iliofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Bethel – Kasulu mkoani Kigoma leo tarehe 23 Juni 2023.

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com