METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, December 7, 2021

RAIS SAMIA AKUTANA NA TIMU YA TAIFA YA WATU WENYE WALEMAVU,AIPONGEZA KWA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2022 NCHINI UTURUKI

     

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuwapongeza Viongozi na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa Watu wenye Ulemavu, kufuatia kufuzu kushiriki katika Kombe la Dunia kwa Watu wenye Ulemavu 2022 Nchini Uturuki. Hafla hiyo iliyoambatana na Chakula cha Mchana imefanyika leo tarehe 07 Disemba 2021 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Baadhi ya Viongozi wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa Watu wenye Ulemavu baada ya kuzungumza nao leo tarehe 07 Disemba 2021 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com