METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, October 8, 2021

RAIS DKT.MWINYI AFUNGUA MASJID TAWBA KISAUNI WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA

RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh. Saleh Omar Kabi na Naibu Mufti wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizia hafla ya ufunguzi wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na  Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 8-10-2021.(Picha na Ikulu)    

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada ya kukata utepe kuufungua rasmin leo 8-10-2021, na kujumuima na Wauminin wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.(Picha na Ikulu)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com