METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, July 1, 2021

ZIARA YA WAZIRI MKUU NCHINI BURUNDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura, akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura na  akipokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza (kulia), akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza, akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com