METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, June 2, 2021

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA TAKUKURU JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Hamduni (katikati) pamoja na Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU, Neema Mwakalyeye walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 2, 2021

Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Hamduni (kulia) pamoja na Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU, Neema Mwakalyeye walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 2, 2021

Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka TAKUKURU wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Hamduni (watatu kulia) walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 2, 2021, Watatu kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU, Neema Mwakalyeye. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com