Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Cpt. Mst. George Huruma Mkuchika kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) katika hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rodrick Lazaro Mpogolo kuwa Katibu Tawala mkoa wa Katavi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dorothy Aidan Mwaluko kuwa Katibu Tawala Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Athumani Juma Kihamia kuwa Katibu Tawala mkoa wa Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwanaasha Rajabu Tumbo kuwa Katibu Tawala mkoa wa Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ngusa Dismas Samike kuwa Katibu Tawala mkoa wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hassan Abasi Rugwa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Fatuma Ramadhan Mganga kuwa Katibu Tawala mkoa wa Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Musa Ramadhani Chogero kuwa Katibu Tawala mkoa wa Geita,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Pili Hassan Mnyema kuwa Katibu Tawala mkoa wa Tanga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Prisca Joseph Kayombo kuwa Katibu Tawala mkoa wa Simiyu.
Viongozi mbalimbali walioapishwa pamoja na kuteuliwa katika nafasi mbalimbali wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma mara baada ya tukio la Uapisho katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
0 comments:
Post a Comment