METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, June 18, 2021

RAIS MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA UNGUJA UKUU KAE PWANI KATIKA SALA YA IJUMAA MASJID NOUR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa salamu kwa Wananchi wa Kijiji cha Unguja Ukuu, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu) 

KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalib Ali Mfaume akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa Kijiji cha Unguja Ukuu baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 18-6-2021.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume (kushoto kwa Rais)  baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika  

WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani  Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Ikulu)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com