Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoa Kagera, Mama Costansia Buhiye(katikati), Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilya Karagwe, Roninson Mtafungwa (kushoto) na MNEC wa mkoa Kagera, Willibroad Mtabuzi(Kulia) Wameambatana kuwatembelea wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo. , Kyerwa, Kagera, Septemba 14, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoa Kagera, Mama Costansia Buhiye (aliyevaa miwani) akiwa ameambatana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kagera wakitoa pole na kuwafaliji wazazi wa wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo, Kyerwa, Kagera, Septemba 14, 2020.
0 comments:
Post a Comment