Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amesimama na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakati
wa heshma za nyimbo za Mataifa mawili zikipigwa katika uwanja wa Lake
Tanganyika mkoani Kigoma leo tarehe 19 Septemba, 2020
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakati
akimtambulisha kwa baadhi ya Mawaziri wa Tanzania katika uwanja wa Lake
Tanganyika mkoani Kigoma.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye mara baada
ya kuwasili katika Uwanja wa Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakifungua kwa
pamoja jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma leo tarehe 19 Septemba 2020.
Muonekano wa Jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma ambalo limezinduliwa leo kwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye.
0 comments:
Post a Comment