Sehemu ya Wananchi wa Bunda
waliofika kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo
hilo la Bunda mjini mkoani Mara.
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Lamadi wakati akitokea Bariadi mkoani Simiyu.
0 comments:
Post a Comment