Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bariadi katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM zilizofanyika katika uwanja wa Bariadi mkoani Simiyu
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watoto
wenye Ulemavu wa Ngozi mara baada ya kuwasili Bariadi mkoani Simyu.
0 comments:
Post a Comment