Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhe. Freeman Mbowe
Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert
Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili Jijini Dar es Salaam, mara baada ya kuwasili nyumbani kwa
Marehemu Salasala kwa ajili ya kutoa pole kwa Familia Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo
nyumbani kwa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe
aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Jijini Dar es Salaam, kabla ya kutoa pole kwa Familia na Mhe. Freeman
Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Familia ya Marehemu
Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai
28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam
ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu
nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Mhe. Freeman Mbowe
Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu mara baada ya kutoa pole kwa
Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe
aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Familia ya Marehemu
Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai
28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam
ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu
nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiomba dua maalumu na Familia ya
Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia
julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam
iliyoongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu
nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kuomba dua
maalumu na Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe
aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni
kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Mhe. Freeman Mbowe
Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu pole kwa Familia ya Marehemu
Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai
28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam
alipowatembelea nyumbani kwao Salasala Dsm kwaajili ya kutoa pole
kufuatia msiba huo. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na Waombolezaji wengine akiwa
ameambatana na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu
Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai
28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam mara
baada ya kutoa pole kufuatia msiba huo nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai
30,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge
wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
ambaye pia ni kaka wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe
aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa pole kufuatia msiba huo
nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.
PICHA NA IKULU
…………………………….
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli tarehe 30 Julai, 2019 ametoa pole kwa familia, kufuatia kifo
cha Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia juzi
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Rais Magufuli amekwenda
nyumbani kwa Marehemu Salasala Jijini Dar es Salaam na kukutana na
familia ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe ambaye ni Mbunge wa Hai na
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Pamoja na kutia saini kitabu cha
maombolezo, Mhe. Rais Magufuli ameungana na familia hiyo katika sala ya
pamoja ya kumuombea Marehemu Meja Jen. Mstaafu Albert Lameck Mbowe.
Baada ya sala hiyo, Rais Magufuli ameitaka familia hiyo iendelee kuwa na umoja na kumtanguliza Mwenyezi Mungu.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen.
Venance Salvatory Mabeyo amesema pamoja na kustaafu Meja Jen. Mbowe
alikuwa mshauri wa karibu wa Jeshi.
Amesema katika utumishi wake wa
miaka 36 na siku 27 Jeshini, Meja Jen. Mstaafu Mbowe alitoa mchango
mkubwa katika masuala ya fedha.
Meja Jen. Mstaafu Mbowe alizaliwa
Januari 1953, alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
mwaka 1973 na alistaafu utumishi Jeshini mwaka 2009.
0 comments:
Post a Comment