Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa Chama pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu kabla ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akianza kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya Kikao hicho mkoani Dodoma leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali
Mohamed Shein mara baada ya Kikao hicho mkoani Dodoma leo tarehe 19 Agosti,
2020 mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment